HATUPIMI BANDO

23 August 2013

BAADA YA BODI KUJA JUU MHARIRI AANZE TENA KUCHAMBUA VICHWA VYA HABARI

 Huyu lazima kavalishwa sanda, jezi gani tena ya marehemu kuliko hiyo?

 Mkuu sijui alikuwa anawashwa maana hawa waandishi wanaleta utata

 Ngoja Jumamosi niende Njenje nikamuulize Waziri Ally Kisinja kama wameibuka Mawaziri feki au bado yuko peke yake

Ni kweli polisi wengine wana nywele ndefu sana, imeshakuwa tabu sasa

2 comments:

Abdulbonge said...

KWELI WE MKALI

Itika Majivuno said...

Hiyo ya mawaziri feki imekaa vyema. Wako wengi hapa Tz!