PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

WAHARIRI MAKANJANJA WACHAMBUA VICHWA VYA HABARI Pamoja na ukanjanja wetu tuna swali kwa WASOMI..... Huku serikalini si ndio mmejaa nyinyi wenyewe? Mtu asiye msomi atapata kazi gani serikalini kama siyo ufagizi? Mipango maamuzi na kila kitu mnafanya wenyewe, sasa hili changa la macho la lakujidai mnajilaumu wenyewe kwa wenyewe mnamfanyia nani?

 Huu ukorofi, na serikali iwachukulie hatua wauza unga hawa, kwani masoko ya Tandale na Kariakoo na Kisutu haya toshi kuuzia unga mpaka wateke Airport yetu?
 Kabila langu Mjonalist

 Hakuna jipya hiyo hadithi ya toka enzi ya mababu

 Mara Simba Kapakatwa , mara Yanga kafunikwa dah

Serikali ipi huwa inafanya kazi hiyo?

Comments