HATUPIMI BANDO

7 July 2013

VIDEO YA KIPINDI KIPYA CHA WEMA SEPETU YATEULIWA TUZO ZA CHEKANAKITIME AWARDS 2013

BAADA ya jopo la wahariri feki wa blog hii kuketi katika kikao cha ndani chumbani cha blog hii na kutumia muda wao wa ziada kuangalia tiza ya kipindi cha luninga kitakachokuja karibuni cha In My Shoes au kwa kiswahili Ndani ya Viatu Vyangu, na kukuta mambo mengi ya kupinga kauli za zamani kama vile watu wana kumbukumbu feki, wahariri wameamua video hii pia iingie katika ule mchakato wa lile tuzo maarufu duniani la Chekanakitime Awards 2013....picha ya tuzo hilo iko hapo juu kwenye mwanzo wa blog hii....Hongeeeraaaaaa makoooffiiiii

No comments: