PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

UNAJUA MICROSOFT OFFICE?

HII KANITUMIA MGOSI MKOLONI ..........
BOSS: Nasikia unatafuta kazi, kompyuta unajua?
JUMA: Sana tu mzee
BOSS: Unajua Microsoft Office?
JUMA: Msema kweli mpenzi wa Mungu, siijui, lakini mkinielekeza iko mtaa gani ntafika tu Mzee.

Comments