PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

UNADHANI ANACHUNGULIA NINI? AU NANI? NA KWANINI?

UNADHANI ANACHUNGULIA NINI? AU NANI? NA KWANINI?

Comments

Fareen Chaula said…
itakuwa hakataki kuoga hako!!
hahaha, hataki kuoga huyu, anaogopa kichapo
Anonymous said…
anachungulia kama mgeni bado yupo!
John Kitime said…
Hahahaha, au kamuona mgeni bafuni
Anonymous said…
MAJI BARID, IRINGA HII...HAOGI MTU HAPA
Peter Sume said…
Anatamani kula bila kuoga. Na maji ya kuoga ni ya baridi!!!
Peter Sume said…
Anataka kula bila kuoga..
John Kitime said…
Hahahahahaha Dogo kaleta utata