PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

UCHAMBUZI USIO YAKINIFU WA VICHWA VYA HABARI LEO

 MHARIRI WA BLOG ISIYOPENDWA ANAJIULIZA TU JE, IKO SIKU TUTAKUTA WAHEHE KUCHEZESHA LIGI KUU? WAHAYA KUCHEZESHATAIFA CUP?
 WAJAMENI WAJAMENI
 YANGA IMETEMA ZIARA
 YANGA IMETUA MWANZA
YANGA YATUA MWANZA
SASA MSOMAJI TU ANAJIULIZA WAMETUA HAWAJATUA? NANI MWONGO ANAIBIA WATU MKWANJA?

Comments