HATUPIMI BANDO

3 July 2013

UCHAMBUZI FEKI WA MAGAZETI YA LEO...by special Mhariri

 DON'T TRY THIS AT HOME......ukiwa mubosi wa Bongo, halafu uko kwenye siasa, chunga sana kujaribu kumshika nyonga mamaaa hadharani, wachakachuaji watatumia kipengele hicho kwenye kampeni kuwa wewe unaharibu watoto kwa hiyo usipewe kura ohoooooooo usiseme sikukwambia. Maana kuna jamaa hapa wamekaa mkao wa kisiasasiasa kwa kila kitu shauri yako. Ukifagia barabara wanalalamika ukiliacha chafu wanalalamika, ukicheka kosa ukinuna kosa

 Nadhani hii ilikuwa ujumbe kwa wamachinga waliobomolewa vibanda vyao, au ndio ile inshu kuwa asilimia 89 ya maneno aliyosema Obama watu walikuwa wanasikia 'Roroororororororo rorororororo Tanzania rororororororo Symbion' Sasa sikiliza mtangazaji anapokupa tafsiri,'Rais wa Tanzania Mh Obama amesema atatupa symbion"

 Hii inaonyesha jinsi intelijensia yetu inavyofanya kazi ya hali ya juu, umeonaeee

Siyo madudu jamani zinaitwa senene, hivi si mngeuliza kwanza? Senene ndio wadudu wanaoanikwa ili baadae kuliwa na ugali. Wapenzi wa senene kaeni mkao wa kula.

3 comments:

Anonymous said...

Comment yangu ni juu ya Mh. kushika maungo ya mkewe, hiyo ni dalili ya mapenzi ya dhati kwa mkewe..wabongo tunaponzwa na rigidity yetu kukumbatia desturi zisizo na manufaa kama mimi na mwenza tu mwili mmoja ni kwa nini tusifanye kile hisia zetu zinatupeleka na kwa kuzingatia mipaka? Sioni tatizo hapo!

John Kitime said...

Umeonaeee