PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

SUPASTAA DIDAH AOLEWA KWA MARA YA NGAPI VILE???

KATIKA KILE AMBACHO wachunguzi na watafiti wa kisayansi wa blog hii wanaona kwa kweli ni inshu iliyojaa mafunzo mengi kwa wananchi wa nchi hii NA HASA WADADA MASUPASTA, mdada msanii na mtangazaji maarufu pichani ameolewa kwa mara nyingine tena, kama kawaida wambeya wanadai chuo cha tatu, blog hii inampa hongera kwa kuweza kutimiza kuishi kiheshma. Haya tena wengine vipi???????????????Au bahati hakuna?????????Au namna gani vipi?
Blog hii inamtunukia Tuzo la Chekana kitime 2013 Makooooffiiiiiii

Comments

Anonymous said…
KITIME, HAO HAWAOLEWI, WANAPASHA MOTO KIPORO..ZEN NASING...AFTA IDI JIANDAE,ANAZA MAN ANAWOWA...ZEN NASING. TUMECHOKA SENEMA ZAO.
Anonymous said…
Wakati anakaa Kimara alikuwa anaitwa DIDA WA MCHOPS, sasa hivi anaitwa nani vile??? Ahahahahahahahaaaaaaaa