PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

SIJUI ANAVAA SIDIRIA SAIZ GANI

MKAKA: Salama dada? Nataka nimsapraiz  gelofrend wangu nimnunulie sidiria nzuri sijui mnazo
MDADA: Zipo kibao, unataka saiz gani?
MKAKA: Duh kumbe mnauza kwa saiz? Nilikuwaga sijui sasa ntajuaje?
MDADA: Okay sikiliza mi ntakuonyesha niliyovaa halafu usema kama ni kubwa au ndogo zaidi sawa?
MKAKA: Sawa pia nataka kumnunulia na chupi nayo sijui saiz gani

Comments