PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

NJOO NINUNULIE LANCHI NIKO HAPA KEMPISKI, SIJUI KEMPINSKI SIJUI KENPISKI

MDADA: Hi sweety, unakumbuka ulisema utaninunulia lunch?
MKAKA: Yap, uko wapi?
MDADA: Niko Kempiski?
MKAKA: Wapi?Kempiski au Kempinski? Nipe spelling za hiyo hoteli nije nikupe lanchi (Mdada akakata simu, baada ya dakika 20 akapiga tena)
MDADA: Sweety niko Mikocheni KFC nakusubiri
MKAKA: Okay nipe kirefu cha KFC nije nikununulie lunch...Nusu saa baadae
MDADA: Niko Mango hapa Kinondoni
MKAKA: Haya nakuja, we agiza tu

Comments