PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

NIKIMPATA AUNTY EZEKIEL NA MIMI NTAMBUSU

Mtu na mkewe walikuwa wanaangalia muvi moja ya Bongomovie, Ray alikuwa kamuoa Aunty Ezekiel, na kila akiwa anataka kwenda  kwenye shughuli zake alikuwa akimbusu mkewe kwa mapenzi; MKE: Unamuona Ray anavyombusu Aunty kila anapotoka nyumbani, kwanini wewe hufanyi hivyo jamani? MUME: Kiukweli hata mimi nimewaza hilo, ila sijajua Aunty Ezekiel ntampata wapi

Comments