PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

NAANZISHA BIZNESS YA KUPELEKA SIMENTI SAUZI

So  sasa nimegundua kuwa unaweza kupitisha hata mifuko mitatu ya simenti pale kwenye king'amuzi chao halafu wasiione. Kwa hiyo nimeamua kuanzisha bizness ya kupeleka simenti sauzi, ntakuwa napeleka nashusha narudi, ingawaje inshu iko kule wale jamaa wa kule king'amuzi chao kisije kikaning'amua nikala hasara. Ila nawaza kama mifuko mitatu ya simenti ya kilo 150 haiwezi kung'amuliwa je hizi kilo kumi na ishirini si ndio zitakuwa zinapeta tu au vipi?
Ujanja hapa ni kutumia shepu, so wajamaa wakiaangalia wanaona dah binti ana makalio ya nguvu kumbe kuna kilo kadhaa za siment zinapita au siyooo?

Comments