PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

MSANII MKALI WA BONGO AFUNGUA SALUNI KALI

Katika kile kinachoonekana ni kutafuta promo kwa ajili ya bizness, msanii mmoja mkali wa hapa Bongo ambaye kwa sasa ni mtangazaji wa redio moja kali, ambaye aliwahi kuimba nyimbo kadhaa kali iliwemo ilee ya Tanga, ametuma kwenye blog hii bango la bizness yake ili tuipaishe. Kwa kuwa dunia nzima wanasoma blog hii ni wazi jamaa bizness yake itakuja juu sana. Problem ni kuwa hajatuambia bizness iko wapi , enewey big up kwa kuwa mjasiria mali ndugu yetu, ukichanganya na mshahara wa redio, na ukipiga show mbili tatu, hela ya mwaka 2015 hii hapa LIVE au vipi?

Comments