HATUPIMI BANDO

25 July 2013

MIMI NIMEFANYA KAZI KWA MIAKA MIA MBILI TUBabu mwingine kaibuka huko Iringa, yeye anatoa dozi ya kukufanya usizeeke. Na ametangaza kuwa yeye mwenyewe ana umri wa miaka mia tatu. 
Waandishi wetu wa blog hii ya nguvu za pepo wa busara waliona wamuhoji msaidizi wake mmoja ili kupata ukweli kuhusu dawa za babu huyu; 
Mwandishi:Ndugu msaidizi unaitwa nani?
Msaidizi:Naitwa Ndundami
Mwandishi:Je, ni kweli huyu babu ana miaka mia tatu?
Msaidizi:Kiukweli sina uhakika, maana mi nimefanya kazi kwake kwa miaka mia mbili tu

No comments: