PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

KWENDA ZAKO...message sent

Pamoja namatangazo ya bei mbaya ya kampuni yetu ya simu, haya yamemkumba rafiki yangu anaitwa Othman siku chache zilzopita.
Oth alianza kuchat  kwa txt na mpenzi wake
Binti: Hi Babes
Oth: Hi luv (msg sending failed)
Binti: Vipi upo
Oth: Ndio nipo sweety (msg sending failed)
Binti: Mbona hunijibu? Uko na mtu?
Oth:Mbona nakujibu (msg sending failed)
Binti: Mi naona unadharau sana,ukiwa na mabibi zako unaninifanya mi mjinga.  Mi nimechoka staki tena
Oth: Pumbavu mkubwa kwenda zako(Msg sent)

Comments