HATUPIMI BANDO

12 July 2013

KWANI LAZIMA UENDE KWAO?

Kwa kweli nimeona kumbe inshu sio ngumu nijitengenezee mwenyewe kachikenchips kangu halafu kakiwa kwenye kikontena hiki si sawa tu na wale wabosi? Halafu mie huku napata fulu filigisi, miguu, shingo, kichwa umeonaeee

No comments: