PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

KUWA WA KWANZA KUMUONA MWANDISHI WETU MPYA AKITAFUTA HABARI ZA KUKAMATWA KWA WADADA NA MADAWA YA KULEVYA HUKO SAUZ

Blog yenu feki, ingependa kuwatambulisha mwandishi wetu mpya ambaye hachoki kutafuta habari popote ilipo. Hapa katuletea picha akiwa katika kazi ngumu ya kuchimbua Je, ni nani aliwatuma wale wadada wabebe zile piliton mpaka Sauz? Tuna uhakika atakuja na jibu la kueleweka. Tulipomuuliza kwa nini haingii twitter au instagram kutafuta habari, wakati wenzie wametuletea habari toka huko? Alituambia kuwa tatizo hili limejichimbia chini kwa hiyo atalifukua mpaka apate jibu.
Good work

Comments