HATUPIMI BANDO

19 July 2013

KITI NATAKAA KITI NATAKAAAA

Jamaa mmoja bongebonge alikuwa na matatizo ya akili, ndugu zake wakampeleka kwa mganga mjanjamjanja aliyekuwa kaweka matangazo yake kwenye miti mbalimbali, kuwa katoka Nigeria na anatibu magonjwa ya akili. Mgonjwa alipofikishwa kwake mganga akaanza kufanya vibwanga vyake mgonjwa akapandisha shetani, akawa mkorofi hashikiki, huku akipiga kelele,
MGONJWA:Nataka nataka nataka
MGANGA: Unataka nini?
MGONJWA: Nataka nataka.
MGANGA: Sema unataka nini tukupe utulie?
MGONJWA: Mganga nataka kulala na mganga
MGANGA: Umesema?
MGONJWA: Nataka kukuoa wewe sura yako inavutia sana.......Mganga hakungoja matokeo akatimua mbio vibaya sana

No comments: