HATUPIMI BANDO

25 July 2013

KISUSIO BAR IKO WAPI?

Jamaa kaingia kituo kidogo cha polisi amevimba kwa hasira,
Jamaa:
Afande nisaidieni ntamuua mke wangu
Afande:
Tulia bwana kwani vipi?
Jamaa:
Mke wangu ananiudhi sana, kila siku anakwenda pale Kisusio Bar analewa halafu anaanguka anachukuliwa hovyo na mtu yoyote.
Afande:
Alaaa,ili tuanze upelelezi hiyo Kisusio Bar iko wapi?

No comments: