PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

KATENI KICHWA NITUMIENI NIHAKIKISHE

Majambazi yalimteka mke wa tajiri mmoja, yakamkata kidole na kukituma kwenye bahasha kwa tajiri na barua fupi iliyosema, 'Hiki ni kidole cha mkeo, tulipe shilingi milioni hamsini au la tunamuuwa, ukiwa tayari tuma ujumbe kwenye simu namba 0713 274............7'
Mubosi akatumia ujumbe,'Ntajuaje kama kweli hiki ni kidole cha mke wangu? Nitumieni kichwa chake nihakikishe KAMA KWELI NI YEYE' Kesho yake wakamuachia mke akayasov na mumewe.

Comments