PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

HIZI NDIO SIFA ZA GARI ANALOTEMBELEA BOSI WA HII BLOG...linganisha na kale kagari ka Obama

Baada ya watu kuonekana wakikasifia sana kagali ka Obama imeonekana kuwa ni muhimu kuwataarifu wananchi kuwa bosi wetu ana gari la nguvu kuliko hako kagali ushahidi huu hapa linganisha mwenyewe
kaGari la Obama

kaGari la Obama kwa ndani
Gari la kifahari la bosi wetu Mkuu
Pakuwekea vinywaji pa kisasa zaidi

Eneo la nyuma ambalo linaweza kutumika kama ngome ya maficho kukitokea tatizo, pia panaweza kugeuzwa ofisi ya kisasa au sehemu ya chakula inayotosha watu 20.

Gia yenye spidi kali za kidijitali
Gari la nani zaidi?

Comments

Anonymous said…
Hilo Nililiona mwenyewe mwa kitime, lako liko juu, kwanza lina rangi ya danger adui lazima aogope hata SWAAT hawaoni ndani! kwanza magari yao walikopi la kwako!