PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

HELA KIDOGO WIFE ANAPANDISHA PRESHA WHY?

Jamaa katoka kazini akapitia dukani na kumnunulia mkewe perfume nzuri ya shilingi laki moja, mkewe akafurahi mno. Jioni ile akamtoa aout na kumpa dina ya shilingi alfu 30, na wine pembeni, mapenzi yakaongezeka, kisha akatoa mfukoni saa ya laki 3 na kumpa mkewe mpenzi, furaha ilikuwa kubwa sana. Sasa jambo ambalo jamaa anashangaa kesho yake akapata changudoa akamlipa alfu tano tu mkewe alipopata habari akapandisha na kuanza kudai talaka, vurugu mtindo mmoja, why jamani?

Comments