HATUPIMI BANDO

10 July 2013

HAHAHAHAHAHA UWIII VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA BONGO MAJANGAAAA

 Okay kwa kiubishiubishi, je, umewahi kuwa hauzgelo wa nani?

 Toka nilipokuwa mdogo nilikuwa najua anaitwa Leodegar Tenga, na yule mzee mwingine anaitwa Aden Rage sasa huyu Leodegar Rage ni kitu kipya kabisaaaaa

 Du hapa tusemeje?
 Mawaziri wakuu wana kaziiii kwelikweli

 Na je, nauli mpaka Uganda analipa nani? Yaani utoke hapa ukaone Stars Uganda dahh unazi mwingine wakifala

 Mi nilijuaga watoto wadogo tu ndio wanavalishwagwa kumbe hata wakubwa nao, kweli duniani kuna mambo

 Mmeelewa wajumbe? Hakuna yale mambo yenu huko okay, nendeni mkacheze mchezo msafi tu.

Kilo ngapi?

No comments: