PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

FELA KUTI ALIWEZESHA GAZETI LA MWANANCHI KUTEULIWA TUZO ZA CHEKANAKITIME AWARDS


Baada ya TV nanihii kututaarifu umma kuwa Obama ni Rais wa Tanzania, gazeti tukufu la Mwananchi Jumamosi 20 July, nalo limetuwekea picha ya sijui nani sijui na kututaarifu kuwa ni mwanamuziki marehemu Fela Kuti,. Kwa kuwa wahariri wa blog hii nao utaalamu wao hauna kiwango kabisa, tunawaachia wananchi, samahani raia watueleze huyu nani aliyeitwa Fela Kuti? KEEP IT UP MWANANCHI..
Fela Kuti wa Mwananchi

Femi Kuti mwanae Fela

Fela Kuti wetu

Comments

A.J.MLANZI said…
huyo ni Bill T. Jones,ambaye anacheza maonyesho ya broadway.."Fela the musical,ni actor,sio Fela mwenyewe ila wamefanana sana...
John Kitime said…
GAZETI LIJALO WATUOMBE MSAMAHA
Anonymous said…
Mambo ya Aib kwel haya!
Anonymous said…
NINGEMWAGA SUMU, LKN WAMESEMA WATATUPIGA. CHIDOGOZELO HUKO,NG'ONG'ONA WANAJUA FELA HUYO. UFALA HUO
John Kitime said…
Haya tena, ngoja niingie mitini lakini huyo sio Fela Kuti, hata mkinitoa kucha