HATUPIMI BANDO

17 July 2013

CHONDE CHONDE UKISHIKWA NA POLISI USIJIBU YAFUATAYO:-

   Ndugu msomaji wa blog hii inayopendwa India , Afghanistan, Baluchistan na sehemu nyingine kama hizo, ukisimamishwa na polisi chonde usitoe majibu yafuatayo
   1. Hebu nishikie konyagi yangu nikutolee leseni
   2. Nilitaka na mimi kuwa polisi nikaona huu ufala 
   3. Unajua mshahara wako unatoka kwangu mimi mlipa kodi?
-  4. Bosi wako mwenyewe tulisoma nae praimari alikuwa mjingamjinga
-  5. Umejuaje nimekunywa, au na wewe mdau?
6. Jela zimetengenezwa kwa ajili yetu
7. Askari walikuwa zamani bwana nyinyi askari?

No comments: