HATUPIMI BANDO

15 July 2013

BLOG HII KUFUNGUA RADIO.........SIKILIZA HAPA MATAYARISHO

CHEKANAKITIME BLOG ETI inataka kufungua redio na TV hahahahahahaha, watu wenyewe wenye blog hii ni feki sasa wakifungua hicho kituo si kitakuwa feki plus plus? Ene wei waandishi wake wameanza kutayarisha vipindi kwa kuhoji wasanii, katika pitapita yao wakakumbana na msanii huyu

No comments: