PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

BANGI MBAYA

Bangi mbaya,jamaa kavuta kisha kaenda uwanja wa mpira ambako mechi ilikuwa inaendelea.
MIBANGI: Oyaaaa timu gani zinacheza leo
MKAKA: Kihesa Stars na Lipuli
MIBANGI: Wameshafungana
MKAKA: Ndio moja moja
MIBANGI: Nani kashinda?
MKAKA: Pambaf

Comments