HATUPIMI BANDO

18 July 2013

BABY MADAHA vs WOLPER..BLOG HII YENYE MAWENGE INATAFUTA UWEZO WA KUSPONSA PAMBANO HILI LENYE MAWENGE

MGENI RASMI: Hausgelo wa bosi wetu..................
Katika kile kinachoonyesha wazi ni kutafuta 'kiki' neno ambalo hata blog hii haielewei maana yake, kuna mtu anatafuta 'kiki' kwa kutafuta kung'olewa kope laivu. Pambano hili ambalo mpaka sasa halijapata sponsa limewaweka wahariri wa blog  hii katika mkao wa kula ikiwa wataruhusiwa kusponsa pambano hili feki. Mgeni rasmi atakuwa housgelo wa bosi wetu maana atamwakilisha bosi ambaye hupenda sana kusafiri. Hili likizingatia kuwa mahausgelo wanaachiwa mpaka kuuza famasi kwanini wasiachiwe ugeni rasmi?

No comments: