HATUPIMI BANDO

17 July 2013

BAADA YA KIPIGO TOKA KWA MKEWE MHARIRI ARUDI KUCHAMBUA VICHWA VYA MAGAZETI

 HAYA TENA, hii ishu ya kushikana pabaya mbona inakuwa jambo la kawaida? Kizazi gani hiki chenye laana hiki jamani?

 Juzi waif kidogo anipige, alinituma nyama akasema kuwa mbona niliyorudi nayo ilikuwa ndogo,akanambia nitakuwa nimehonga nyingine, nilijitetea mpaka nikaanza kulia, hakukubali, kumbe jamaa wamechakachua mizani, naenda kuwashtaki kwa waif waipate
 Ngoma inogile

 Hahahahahaha wamekitwa , uwiiii eti wamekitwa, hivi kukitwa ndio kufanywa nini?

 Oho kuna kukatana maini tena huko Ulaya?

 Hawa watakuwa mafala tu,

Jamani sasa shida iko wapi mtu akiamua heri awe kafa?

No comments: