PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

WASHABIKI WAUNGA MKONO UBALOZI KUPEWA CHEKANAKITIME AWARDS

Mashabiki wenye furaha wamejitokeza kwa wingi wakiunga mkono Tuzo la Chekanakitime 2013 kwa Ubalozi wetu. Ili kuonyesha furaha yao wamempa mwandishi wetu yule mdaku ushahidi huu kuonyesha kweli Tuzo lile limetolewa kwa haki.
Kwa hiyo ile inshu ya website ya Ubalozi wetu kudai Balozi Maajar ni Balozi wa Marekani  kwa kipindi hiki ni sahihi kuchukua tuzo hilo bila kuweko na kipingamizi. Makofiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Comments