PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

WAKAKA NA WADADA MSIJE MKASEMA HAMKUAMBIWA OHOOO

 Ya Kichina hayoooo, unaweza kudhani umepata kumbe umepatikana, blog hii imeona ijaribu kutoa somo kwa nyie wakaka  mnae mezeaga mate kwa kuona tu mtu kapita na hizi suruali za kisasa zinazobanaga. Unaweza ukawa unauziwa mbuzi kwenye gunia. Unaona kitu mahips ya nguvu na makalio fresh kumbee hola.

Wadada na nyie mnaweza kuona jamaa bonge ya hendsam, mtu ana six pack, mikono amejazia , ukaanza kutamba, oh mie nimepata kitu cha uhakika, hapa umeliwa unaona mikanda ya sidilia hiyooo? Ohoo haya Blog hii imeona kwa mara ya kwanza itoe soma la maana.

Comments