HATUPIMI BANDO

17 June 2013

UNAMJUA KIPANYA? KWANINI HUMJUI? WHY? eti katoa bonasi

Kuna kamjamaa fulani kacholaji, kama kawa ya hivi vimjamaa visanii kana aka, kanajiita Kipanya, kanachola hako, sasa eti kametoa bonasi ya micholo. Sasa watu tunajua bonasi mana yake hela, kwanini hakatupi bonasi sisi tunaeshangaaga micholo yake kila siku, huu ni unyanyasaji wa kijinsia, jamani hebu angalieni bonasi yenyewe hapa chini, kama mnafikili mi muongo nendeni wenyewe chumbani kwa kubonya hapaa muone hiyo bonasi siyo na hela

1 comment:

Anonymous said...

Tehtehtehteh...nilipokuwa nje ya mfumo niliipinga rushwa.. Leo niko ndani ya mfumo...nnaongoza kwa rushwa..