HATUPIMI BANDO

19 June 2013

UNAJUA UNAWEZA KUJIPIMA UZITO KWA KUTUMIA SIMU YAKO?

Je una Samsung Galaxy,Blackberry au iPhone au iPad, unajua kuwa sasa unaweza kujua uzito wako kwa kutumia vitu hivyo?


Fanya yafuatayo andika *777# kisha simama juu ya simu au pad yako kwa nusu dakika, uzito wako utajiandika kwenye skrini.Teknolojia hii mpya haifanyi kazi kwa simu za Kichina.

No comments: