PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

UCHAMBUZI WA JUMAPILI..ETI JAKI KAKUTWA HAJAVAA KUFULI

Jack, Jack, Jack kwanini wanakuonea masikini mtoto wa watu? Yaani ishu kama hii ndio wanakuandika jamani, kama si uonezi ni nini? Kwani wao wamevaa kufuli? Ninavyojua mimi kufuli hutumika kufungia milango, hii ishu ya binadamu kuvaa kufuli imeanza lini? Nashauri uwapeleke mahakamani ukawashtaki kwa kukulazimisha kuvaa kufuli wakati wewe sio mlango.
  Japokuwa kuna wajinga wajinga wachache wanavaaga kufuli kama hawa hapa lakini si sawa wakulaumu si eti ee. Mbona watu wengi tu havaaagi kufuli?
Huyu sijui mkaka au mdada sijui kavaa kufuli kiunoni

Mkaka kavaa chupi yenye kufuli

Madada kavaa kufuli sikioni

Comments