HATUPIMI BANDO

19 June 2013

STAILI MPYAAAA YA KUSHEREHEKEA HARUSI

Watu siku hizi wako bizi wanabuni mbinu za kufanya sherehe zao za harusi kuwa tofauti na wengine. Blog hii imewateuwa hawa wawili kuchukua tuzo kutokana na ubunifu wa hali ya juu wa kuja na kitu kipya kabisa kwa  bwana harusi kuvaa shela la bibi harusi na bibi kutinga katika suti kali.
 Ni kawaida ya wabongo kuiga mambo kwa staili ya kopi and pesti, Haya sasa maharusi wapya igeni hii ili harusi yenu iwe na mvuto mpya kabisa nchini. Nani anaanza?

No comments: