HATUPIMI BANDO

6 June 2013

SIYO BREAKING NEEEEEWS KABISAAA, BIBI HARUSI AMUUMA BWANA HARUSI MDOMO

Katika jambo ambalo limeshangaza walimwengu wasio na kazi, (kama wasomaji wa blog hii) ni kitendo cha bibi harusi mpyaaaa kumuuma mdomo bwana harusi mpyaa. Kitu cha ajabu ni bwana harusi kuonekana hajali maumivu kabisaaa, kuna watu waliokuwepo wanadai ni kwa ajili jamaa kalishwa limbwata. Blog hii iliwanyatia nyuma nyuma mpaka kwenye hoteli waliofikia ili kupiga chabo, bahati mbaya mwandishi wetu kakamatwa na mpaka sasa yuko ndani kwa kosa la kutaka kupata udaku.

No comments: