PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

NYAMAZA NATAKA KUTAGA

Machizi watano walitoroka hospitali yao wakaenda kujificha kwenye banda la kuku. Haikuchukua muda mrefu walikamatwa maana walikutwa wakirukaruka na kupiga kelele wakijifanya kuku ili wasionekane. Ila moja alikuwa kachuchumaa kimya, hivyo madaktari walipowakamata wenzie yeye hawakumgusa maana walihisi japokuwa yeye ana unafuu.
DOKTA: Naona wewe una nafuu, siyo kama wenzio waliokuwa wanadhani wao kuku
MGONJWA: Shhhhhh usipige kelele nataka kutaga

Comments