HATUPIMI BANDO

5 June 2013

NIMEKUTANA NA MDADA YUKO SOOOO FRUSTRATED MASIKINI

Nipo hapa kwenye bar moja karibu na Mlimani City, nimekaa na mdada anateremsha vinywaji kwa hasira machozi yanamtoka, nimemuuliza mbona anaonekana frastreted, kanijibu ifuatavyo, 'Yaani nyie wanaume hamuaminiki kabisa. Mie nina boyfriend wangu watano, sasa nimegundua huyu mmoja ambaye nilikuwa na mtrast sana, nimempa moyo wangu kumbe ananichit, hebu fikiria, imeniuma sana, siamini mwanaume tena' 
Na mimi sasa nimeagiza nimeagiza Nyagi chupa ndogo nitafakari masaibu ya mdada huyu!!!!!!!!!!!!!!

No comments: