PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

MSANII MBONGO AGUNDUA NGUO ZA KIDIJITI ZA KUENDEA KANISANI

Katika kile kinachoonyesha ubunifu wa hali ya juu msanii maarufu amezindua nguo za kuendea kanisani. Katika picha ambazo zimepatikana, mbunifu huyo kapozi ili kuonyesha jinsi nguo hizo zinavyofaa kwendea kanisani. Mhariri asiye mkuu wa blog hii, anatayarisha fasheni sho ya nguo za kanisani baada ya mudi si mrefu.

Comments

Anonymous said…
hahaha na hilo tako lilivojaa
Anonymous said…
na alivojawia maeneo duuh full kutopata upako