PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

MMAMA AMTAFUTA MUMEWE KWA MAMBANGO YA KIINGEREZA


Kwa kweli wamama wengine wangeiga mfano huu kutatua matatizo ya wababa kupotea ghafla. Wakitumia njia hii kuwazukia nyumba ndogo waliowaficha wababa, tatizo la nyumba ndogo lingepungungua kwa kiwango kikubwa sana. Mmama anachukua ukoo wake wote anawapa mabango wanazuka mtaa husika kwa maandamano, lazima nyumba ndogo hapo akubali kushindwa, na kama ndio wale wenye tabia ya kuwa wasafi kwa kufua nguo za mzee alafajiri, italazimika wamruhusu mzee avae nguo mbichi arudi nyumbani haraka.Tena muwe mabango mnaandika kwa Kiingereza pia kusudi wafadhili wawe wanaweza kusoma kuwa kuna nyumba ndogo imeiba mume. You see. Nawasilisha hoja 

Comments