HATUPIMI BANDO

19 June 2013

MAMA MKWE WA NANIHII AKIWA KAKASIRIKA SANA SANA -VIDEO

Wahariri wa Blog hii isiyo na ishu wala nini eti wote wamekutwa wamekaa wameagiza chips na soda wanaangalia hii muvi kwenye flet skrin ya baa moja, muvi hii isiyo na script wala dairekta eti wanaitafutia jina , mi ndio nikawashauri waiite THE SWEET REVENGE Part I au THE REVENGE OF SUPER MAMA Part I, naona eti ndio kwanza hawanisikilizi wanaagiza kitimoto. Hawana maana mi nasepa zangu

No comments: