PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

CHUPI ISIYOPENYA RISASI YAGUNDULIWA

Baada ya wazungu kugundua Bullet Proof Vest, hatimae waswahili wagundua chupi isiyopenya risasi. Askari mmoja ambaye alikuwa amevaa chupi hiyo alionyesha uwezo wa chupi hiyo kwa kujilenga na bunduki hiyo na kuita mtu ambaye ajitolee kufyatua risasi. Mwandishi wetu ambaye kila mtu humu ofisini anajua ni mwoga wa kutupwa,
alikimbia kutoka eneo hilo akidai hataki kuwa shahidi kwa hiyo hatujui nini kilijiri baada ya risasi kufyatuliwa.
Mhariri Asiye Mkuu

Comments