PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

BREAKING NEWWWWS....WAVIVU HARAMU WA BWAWA LA KULE UPARE KUSHUGHULIKIWA

Kwa taarifa tu leo nimesikia kutoka mjengoni kuwa kwenye Bwawa la Nyumba ya Mungu kuna wavivu haramu. Na kulikuweko na mapendekezo ya serikali kupanga mkakati na kuingilia kati ili kuwadhibiti hawa mapema iwezekanavyo. Blog hii tata inaunga mkono juhudi hizi kwa nguvu zote. Afadhali wangekuwa wavivu halali ingekuwa poa .........

Comments