HATUPIMI BANDO

15 June 2013

BLOG YAMFUKUZA KAZI MPIGA PICHA KWA KUHUDHURIA SHOW YA ANACONDA

Wakulu wa blog hii isiyo sema ukweli mara nyingi imechukua maamuzi magumu ya kumfukuza kazi mpiga picha wake kutokana na kuhudhuria onyesho la ANACONDA na kuishia kusherehekea tu badala ya kurudi na picha zenye maana, hebu ona jamani picha alizoleta huyu chizi, tutazitumia wapi kwa maelezo gani? Tumemfukuza asionekane tena mitaa hii akaombe kazi kuleee MTAA KWA MTAA au akabembeleze kwa DJCHOKA Habari ndio hiyo, pambafu mkubwa.


3 comments:

Anonymous said...

Ha ha ha, huyu kweli wa kufukuza kazi

Yusuph Mcharia said...

Hahahaha we naye!

abihud greepherson said...

kweli anastahili kufutwa kazi