PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

WANANCHI MKO WAPIIII?


Ok sasa basi lazima kuwe na mabadiliko jamani!
~Wakati wa tangazo la  COLGATE, utaonyeshwa mtu anapiga mswaki vizuri sana
~Wakati wa matangazo ya  GILLETTE, tunaonyeshwa mtu akinyoa ndevu vizuri sana.
~Wakati wa tangazo la COCA COLA tunaonyeshwa mtu anakunywa soda kwa raha
~Sasa wakati wa matangazo ya KINGA mbona kuna kuwa na usiri?
Wananchi tuchukue hatua

Comments