HATUPIMI BANDO

20 May 2013

WANAHARAKATI WA KUPONYESHA WAUMANA MIDOMO WANAPANGA KWENDA DODOMA

Wanaharakati waliojiunga na blog hii isiyo na lolote la maana ni wazi nao hawana maana, eti wanataka kutembea kwa miguu hadi Dodoma ili kuonyesha jinsi walivyokasirika kutokana na kutokupatikana tiba ya ule ugonjwa wa kuumana midomo. Mwenyekiti wa wanaharakati hawa aliiambia blog hii mambo yafuatayo huku akilia machozi alisema, 'Jamani serikali itupe pesa ili tupate njia ya kutokomeza ugonjwa huu unaoenea kwa kasi'No comments: