HATUPIMI BANDO

23 May 2013

WAANDISHI WA BLOG HII WAENDELEZA UDAKU BILA SABABU ZA MSINGI

ONYO: Uongozi wa blog hii unawaonya wandishi wake kuacha mtindo wa kutafuta udaku, sasa kwa mfano hapa mnahusika vipi? Je, kuna habari yoyote ambayo ina manufaa kwa taifa? Umbeya tu umewajaa. Nawapeni onyo mkileta tena habari kama hii nawahamishia Ntwala, kule mtakuwa na nizamu kidogo.
Ni mimi JK bosi wa blog
NB...JK hapa ni John Kitime, wala si Julius Kambarage au Jomo Kenyatta au John Kennedy umeonaeee?

No comments: