PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

VICHWA VYA HABARI VYA AJABU LEO

 Unataka kuwanunua hawa? Ndio hivyo wako sokoni chagula chagula

 HAHAHAHAHAHAHAHAHA JAMANI HAYA MAGAZETI BWANA

 NI TANZANIA TU yaani ulifeli sasa hujafeli

 Du huyu mkuu si ndiye yule walisema alitoa bastola?

Kwa hiyo uwanja wa ndege wa hapa una paa? Hii ni teknolojia ambayo lazima Wamarikani waige, unakuwa na bonge la uwanja halafu unaweka booonge ya paa

Okay haya ni moja ya matumizi ya pamba yetu, vaeni pamba ndugu zangu ni uzalendo wa hali ya juu.

Comments