HATUPIMI BANDO

10 May 2013

SIOOO BREAAAAAAAKING NYUUUZIII HATA KIDOGO

Jiditihada za blog hii kuwaamsha ili kujua ni pombe gani walikunywa ziligonga ukuta. Lakini uchunguzi wa kina uliofanywa na blog hii isyojihusisha na breaking nyuzi iligundua kuwa hawa jamaa wanadaiana sasa kuna huyu mmoja alikuwa kamkwida mdeni wake ili asitoroke sasa ndio kwa bahati mbaya wakalala usingizi

No comments: