PAKUA HAPA ANKO KITIME APP

'NATAKA KO...'

Ni siku mbili tu toka umetoka kupeleka posa kwa mzee Pesambili unataka kumuoa binti yake unaempenda sana. Umeingia famasi unataka kununua kondom. Ile unamwambia muuza duka, 'Nataka Ko.." unamuona baba mkwe wako pembeni. Je utamaliziaje sentesi yako hapo?

Comments

Anonymous said…
Unaendelea, unasema nataka kofta dawa ya kutibu kikohozi.